Blog sponsor

Blog sponsor

Jumatatu, 23 Februari 2015

Janga la ndugu zetu albino



Hizo picha juu ni baadhi ya wanyama Albino.  Jamani inasikitisha sana kuona ndugu zetu albino wanaumwa kwa ukatili mkubwa sana na kupewa mateso mazito e.g kukatwa viungo vyao hii inaudhunisha sanaaaaaaaaaaaaaaaa.  Jamii tuondokane na imani potovu tumrudie mungu wetu.  Mungu ndio anagawa ridhiki na simwingine.  Ndugu zetu albino ni watu kama sisi ila wao walemavu wa ngozi kama ilivyo kwa walemavu wangine.  Hivyo kuwakata viungo ni kuwaogezea ulemavu na kuwaogezea maisha magumu.    Hata wanyama wapo Albino na unaishi vizuri bila manyanyaso na wanyama wengine.  Vipi sisi binadamu mwenye akili za kufikiri tunawatesa na kunyanyasha wenzetu.  Inauma sana wewe mwenye imani potovu mrudie mungu wako na usome kuhusu albino.  Albino agekuwa anauwezo wa kukupa cheo au mali basi ageaza kupata yeye.  Mungu walindi viumbe wako wasio na makosa kwa hukumu wanayopewa ni nzito hawasitaki. 

Ijumaa, 6 Februari 2015

Mwanamke aliye jioa mwenyewe





Mdada wa kimarekani (African American) Yasmin Eleby aliyeamua kujiowa mwenyewe.  Kwani aliona anakalibia miaka 40 hajapata mtu wa kumuoa.  Na hakupenda afika miaka hiyo kabla hajaolewa. Hivyo akamua kujioa mwenyewe na kufanya bonge ya harusi ikudhuliwa na ndugu na jamaa uko Houston.


Jumanne, 3 Februari 2015

The Best Natural Skin Moisturizer

Week iliyopita tuliwaletea Njia za kukufanya uonekane mrembo bila makeup.  Moisturizer ilikuwa moja ya vitu muhimu kukufanya uwe mrembo.  Kwani moisturizer ni muhimu sana katika kutunza ngozi yako na hasa ngozi ya usoni (Mwanamke face bibi).  Hivyo leo tukaona ni bora tuwape tips za kutengeneza Natural skin moisturizer kwa wale wasio penda chemical na wanaogopa product za madukani.  Pia wanaoishi kwa budget kwani product za ukweli na bei yake ni ya ukwee. Usisumbuke sana mungu anatupenda jaribu vitu vya Asili (Natural) uone matokeo yake. Fatilia hapo chini tips za kujitengenezea Natural Moisturizer yako

1. Kijiko kimoja cha asali (honey)
2. Avocado
3. Maziwa
4. Olive oil
Changanganya kwa pamoja mchanganyiko wa vitu hivyo juu. Pakaa kwenye uso wako acha kwa dakika 10-15 kisha safisha vizuri uso wako.  Kwa matokeo bora tumie mara mbili kwa week.  Kama na wewe una chochote cha kuchangia usisite kututumia kwenye email: mamaimraan@gmail.com