House-girl amchoma kisu mtoto wa miaka 4 sehemu ya jicho, mwanzo
alidaganya mtoto kagongwa na pikipiki.
Mungu barike mtoto mwenyewe alikomaa kwa kumnyoshea kidole akiashiria kitendo
hicho kafanyiwa na huyu bi dada na wala sio kugongwa na pikipiki. Baba wa mtoto aliamua kumchukua mtoto wake na
house girl huyo mpaka Polisi. Walipofika
Polisi hausigeli alipoulizwa ni kwa nini
alifanya kitendo cha kinyama kiasi hicho alisema kuwa alikuwa akitamani kumtoa
jicho mtoto huyo.
Kwa madai kuna shetani au roho ilikuwa ikimtuma amng’oe
macho mtoto wangu alidai baba wa mtoto. Ndipo Polisi walipo mueka Binti huyo kwenye Kituo cha Polisi cha Tabata akisubiri
sheria ichukue mkondo wake.
Allah awalinde watoto wetu na watoto wote kwa ujumla ameen


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni