Jumatano, 31 Desemba 2014
Jumatatu, 22 Desemba 2014
Joketi kuingia mkataba wa 8.5billion na kampuni ya kichina
Hongera nyingi kwa bi joketi kusaini mkataba na kampuni ya kichina Rainbow shell craft company limited kutegeneza product za kidoti.
Jumanne, 16 Desemba 2014
Huyu ndie muuza chips shujaa
ProProf.Rais Jakaya Kikwete jana aliwatunuku nishati Watanzania 28, akiwamo muuza chips, Kassim Said Kassim (28)aliye save maisha ya wateja wake kwa kumpiga jambazi na chepe mara mbili kichwani, baada ya kuwavamia wateja hao na kuwataka watoe pesa au atawapiga kwa bastola. Tukio ilo lilitokea Julai 7 mwaka jana maeneo ya buguruni malapa. Aunt jam and team tunatoa pongezi nyingi kwa muuza chips huyu. Pia tunamshukuru Rais wetu kwa kutambua michango ya wananchi wake katika jamii.
































