Jumanne, 16 Desemba 2014

Huyu ndie muuza chips shujaa

ProProf.Rais Jakaya Kikwete jana aliwatunuku nishati Watanzania 28, akiwamo muuza chips, Kassim Said Kassim (28)aliye save maisha ya wateja wake kwa kumpiga jambazi na chepe mara mbili kichwani, baada ya kuwavamia wateja hao na kuwataka watoe pesa au atawapiga kwa bastola. Tukio ilo lilitokea Julai 7 mwaka jana maeneo ya buguruni malapa. Aunt jam and team tunatoa pongezi nyingi kwa muuza chips huyu.  Pia tunamshukuru Rais wetu kwa kutambua michango ya wananchi wake katika jamii.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni