Blog sponsor

Blog sponsor

Jumatatu, 23 Februari 2015

Janga la ndugu zetu albino



Hizo picha juu ni baadhi ya wanyama Albino.  Jamani inasikitisha sana kuona ndugu zetu albino wanaumwa kwa ukatili mkubwa sana na kupewa mateso mazito e.g kukatwa viungo vyao hii inaudhunisha sanaaaaaaaaaaaaaaaa.  Jamii tuondokane na imani potovu tumrudie mungu wetu.  Mungu ndio anagawa ridhiki na simwingine.  Ndugu zetu albino ni watu kama sisi ila wao walemavu wa ngozi kama ilivyo kwa walemavu wangine.  Hivyo kuwakata viungo ni kuwaogezea ulemavu na kuwaogezea maisha magumu.    Hata wanyama wapo Albino na unaishi vizuri bila manyanyaso na wanyama wengine.  Vipi sisi binadamu mwenye akili za kufikiri tunawatesa na kunyanyasha wenzetu.  Inauma sana wewe mwenye imani potovu mrudie mungu wako na usome kuhusu albino.  Albino agekuwa anauwezo wa kukupa cheo au mali basi ageaza kupata yeye.  Mungu walindi viumbe wako wasio na makosa kwa hukumu wanayopewa ni nzito hawasitaki. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni