Nafasi ya Oprah imechukuliwa na Folorunsho Alakija
Miaka mingi ya nyuma Oprah alifahamika kuwa mwanamke mweusi tajiri kuliko wote Duniani, ila sasa nafasi yake yachukuliwa na Bi Folorunsho Alakija. Na kutambulika Folorunsho Alakija ndio mwanamke mweusi tajiri kuliko wote duniani
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni