Tumia moisturizer kila siku, tafuta moisturizer inayofaa ngozi yako. Kama ngozi yako ni ya mafuta (oil skin) basi tafuta moisturizer itakayo suit ngozi yako. Sio wewe ngozi yako ni ya mafuta |utumie moisturizer ya ngozi kavu (dryskin).
Mara moja kwa week tumia scrub na kitambaa safi kwa ajili ya kusafisha uso wako. Usipendelee kutumia scrub kwa kila mara wala usifute kwa nguvu utakausha uso wako. Na kuufanya uwe mkavu (dry).
Tumia toner nzuri inayo suit ngozi ya uso wako. Tunaimetegenezwa kukusaidia kujenga ngozi ya sura yako. Mfano ukiwa na ngozi ya mafuta toner inasaidia kupunguza mafuta na kuziba matundu. vilevile wenye ngozi kavu toner inasaidia kulainisha ngozi yako.
Pimples inapoteza muonekano wa sura yako. Jitahidi kutafuta dawa ya kutoa pimples na ikiwezekana muone daktari au mtaalam.
Ni vizuri kutumia Sun screen kila siku hata siku za baridi au mawingo. Miozi ya juu inaharibu ngozi na kuzeesha.
Usipendelee kushika shika uso wako. Tabia hii uharibu uso ngozi ya uso wako.
Kuangalia ngozi yako pia kunausishwa na vitu unavyoingiza tumboni kwako. Tumia maji kwa wingi na pendeleza kulala si chini ya masaa 8 kwa usiku moja.
Angalia nywele zako hakikisha kila week atleast mara mbili unaosha nywele zako na kuziweka safi.
Tumia kifaa cha kupendezesha kope zako au tumia mascara kuzifanya kope zako zipendeze.
Hakikisha lips zako haziwi kavu. Tumia lip shiner kungalisha na kupendezesha lips zako.
Kama macho yako inatabia ya kuwa red, jaribu kutumia dawa ya kutoa wekundu kwenye macho yako (unaweza kumuona daktari). Macho yako yakingala inakufanya upendeze.
Unaweza kuweka rangi kidogo kwenye mashavu yako rangi ya pink inapendezesha sura yako.
Jitahidi uwezavyo kutuza meno yako, ili uonekane mrembo ni lazima uwe na meno mazuri na ya kungala. Piga mswaki kila baada ya mlo. Kupunguza muonekano wa rangi ya manjano kwenye meno yako.
Usipende kuwa mtu wa kununa nuna. Tabasamu ufanya mtu aonekane mrembo.
Style ya nywele pia usaidia kukufanya uwe mrembo. Hivyo zingatia style nzuri ya nywele.
Chakula bora kinasaidia sana kutegeneza ngozi yako. Kula matunda na boga boga kutegeneza ngozi yako. Kuzuri haitaji makeup.
Lizika na ulivyoumba. Jipende mwenyewe ili kujiamini na kuonekana mrembo zaidi. Usiweke akili kwako bila makeup uwezi pendeza.



















Hakuna maoni:
Chapisha Maoni